x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mradi wa upanzi wa miti MAU wazinduliwa na wanamazingira

16, Sep 2020

Wanamazingira wamezindua kampeni ya kupanda zaidi ya miche elfu 5 ya miti kwenye Kaunti za Kajiado na Narok. Wakizungumza wakati wa upanzi wa miti aina ya mianzi eneo la Nkaimurunya kaunti ndogo ya Kajiado kaskazini, msimamizi wa mamlaka ya maendeleo ya Ewaso Ngiro Ngala Oloitiptip na mwanzilishi wa Wakfu wa Green Africa Foundation Dkt Isaac Kalua, miti hiyo ya mianzia itasaidia pakubwa kuhifadhi ekolojia ya MAU na sehemu nyingi za Kajiado.  Wametoa wito kwa wakenya kukumbatia tamaduni ya upanzi wa miti ili kuhifadhi mazingira. Mbunge wa eneo hilo Joseph Manje pia alihudhuria hafla hiyo.

Feedback