x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Harusi tunayo Hatuna? Wanandoa wamiminika kwa usajili ili kufungishwa ndoa zao

16, Sep 2020

Hatimaye maharusi wanaweza wakafunga ndoa zao pasi na kizuizi chochote. Hii ni baada ya Afisi ya Msajili wa ndoa nchini kurejelea rasmi mchakato wa kuunganisha wanandoa baada ya kufunga shughuli hiyo mwezi Mei mwaka huu kama tahadhari baada ya ujio wa Korona. Shughuli hiyo sasa itakuwa inafanyika katika Shule ya msingi ya Nairobi kama njia ya kupunguza msongamano wa wanaharusi unaoshuhudiwa kwa sasa.

Feedback