x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mabinti wawili wapofuka ghafla, inadaiwa ugonjwa wao hauna tiba

19, Aug 2020

Familia Moja Katika Kijiji Cha Majimazuri Eneo La Navakholo Kaunti Ya Kakamega Imeshangazwa Na Kupofuka Kwa Mabinti Wao Ghafla Huku Juhudi Za Kuwatafutia Matibabu Zikigonga Mwamba. Hii Ni Baada Ya Madaktari Kuthibitisha Kuwa Mabinti Hao Walipoteza Uwezo Wao Wa Kuona Na Itawabidi Kuishi Hivyo. Wazazi Wakilazimika  Kuwaondoa Katika Shule Zao Na Kuwapeleka Katika Shule Zinazowashughulikia Wanafunzi Wasio Na Uwezo Wa Kuona.

Feedback