x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Korona Mipakani: Madereva wa Busia na Namanga wateta wakidai wamwkuwa wakicheleweshwa

12, Jun 2020

Huku mrundiko wa matrela ukiendelea kukosesha wakaazi         wa busia usingizi kutokana na maambukizi ya virusi vya         korona madereva wa matrela hayo sasa wanaelekeza         ghadhabu yao kwa maafisa wa polisi kwa kujihusisha na visa         vya ufisad kwa mujibu wa         madereva hao maafisa wa polisi wameendelea kuwadhulumu         bila makosa yoyote na kuitisha hongo ili wasipangge foleni         jambo ambalo linafanya baadhi yao kukaa kwa foleni kwa         mda mrefu.madereva hao wenye ghadhabu wameitaka         serikali kusitisha usafiri wa matrela hadi korona iishe         badala ya wao kupitia dhuluma za polisi huku wakidai kuwa         gari la polisi hutoa ulinzi kwa madereva ambao wametoa         hongo hadi mpakani busia     

Feedback