×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Aliyekuwa wa timu ya 7s Kocha Paul Feeney ang'atuka baada ya kuwachana na KRU

12th June, 2020

        Kocha wa timu ya raga ya wachezaji saba kila upande paul

        Feeney wametalakiana na shirikisho la raga nchini kru na

        Kung’atuka ukufunzi.

        Shirikisho hilo lilitoa habari za ndoa hii kutibuka

        Leo.kulingana na kru, feeney aling’atuka mwisho wa aprili

        Kutokana na janga la korona na kuomba kuwa nyumbani new

        Zealand na familia yake.chini ya uongozi wake shujaa ilitwaa

        Taji la raga la afrika jijini johannesburg,afrika kusini

        Mwaka jana halikadhalika mashindano ya olimpiki jijini tokyo

        Japan mwaka ujao.aidha walishamiri katika mashindano ya

        Tusker safari sevens

.
RELATED VIDEOS