10th June, 2020
Mwanamke mmoja katika eneo la olenguruone kaunti ya
nakuru anadai kuwa polisi na wananchi wa eneo hilo
walimpiga na kumuumiza juapili wiki hii. Mercy cherono
mwenye umri wa miaka ishirini na moja anadai kuwa polisi
anayefanya kazi katika kituo cha polisi cha olenguruone
alimuumiza akitumia silaha butu baada ya kudai kuwa alikuwa
amemuibia. Joan letting ana mengi zaidi….