×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Siasa za FORD-Kenya: Wetangula apeleka kesi Mahakamani, apinga kupinduliwa na Wamunyinyi

10th June, 2020

Kiongozi wa ford kenya moses wetang’ula amepongeza hatua ya msajili wa vyama vya siasa ann nderitu ya kutaka chama hicho kutatua mgogoro wa uongozi kupitia katiba ya chama.  Kwenye barua yake kwa katibu wa ford kenya dkt. eseli simiyu na kiongozi wa ford kenya moses wetang’ula, msajili wa vyama amesema baada ya kuchunguza stakabadhi zilizowasilishwa kwake, hali ya suitofahamu iliibuka baada ya kugundua kwamba makundi kinzani kwenye chama hicho yaliandaa vikao tofauti vya baraza kuu la kitaifa katika maeneo tofauti tarehe 31 mwezi uliopita.

 

 

.
RELATED VIDEOS