×
× KTN NEWS News Business Sports Politics Features Live Schedule E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kaunti ya Nyamira Yaimarisha mikakati huku Wakazi wakitakiwa kushirikiana na maafisa

3rd June, 2020

   Wahudumu wa afya na wale wa usalama katika kaunti ya Nyamira, wamesisitiziwa wito wa kuimarisha shughuli zao Katika jiihada za kudhibiti virusi vya korona. Wakati huo huo,Usimamizi wa kaunti idara ya afya, imewaeka kwenye Karantini watu 679, ambapo kufikia sasa ni watu 49 pekee Ambao wanaelekea kukamilisha karatini na hakuna visa Vilivyothibitishwa. Ali manzu anaarifu kwa kina.

 

 

.
RELATED VIDEOS