.
3rd June, 2020
Mvulana wa miaka 12 ni miongoni mwa waathiriwa 3 waliofariki katika saa 24 zilizopita kutokana na virusi vya korona huku idadi ya watu 123 kati ya sampuli 2, 112 kuthiibitishwa kuwa na virusi vya korona. Hatahivyo, wagonjwa 54 zaidi wamepona na kufikisha idadi ya wagonjwa 553 waliopona kwa sasa.