.
20th May, 2020
Anthony waswa wetang'ula nduguye kinara wa ford kenya
moses wetang'ula amezikwa nyumbani kwao katika kijiji cha
mukhweya kaunti ya bungoma. Mwendazake alizikwa katika
maziko yenye masharti makali. Jeneza likiwa limefungwa kwa
sandarusi na maziko hayo kuchukua takriban dakika kumi.