x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mzazi wa kike kutoka jamii ya wafugaji amelaumiwa kwa kuwa chanzo cha mila potovu ya ukeketaji

08, Mar 2020

Mzazi wa kike kutoka jamii ya wafugaji amelaumiwa kwa kuwa chanzo cha mila potovu ya ukeketaji miongoni mwa wanao wa kike. Hili limejitokeza kwenye warsha ya kuadhimisha siku ya wanawake ulimwenguni ambapo mashirika mbali mbali ya jamii yamewataka wazazi wa kike kusimama kidete katika vita dhidi ya mila hiyo ambayo inamnyima fursa mtoto wa kike kupata masomo.

Feedback