22nd February, 2020
Baada Ya Mkutano Wa Bbi Wa Narok, Macho Yote Sasa Yanageukia Kaunti Ya Garissa Kunakotarajiwa Kuandaliwa Mkutano Huo Hapo Kesho. Uhaba Wa Walimu Kaskazini Mashariki Mwa Nchi Na Ukosefu Wa Usalama Yakiwa Masuala Makuu Yanayotarajiwa Kutawala Mkutano Huo. Kwa Mujibu Wa Gavana Wa Garissa Ali Korane Amesema Kila Kitu Ki Shwari Ingawa Kuna Madai Kuwa Huenda Mkutano Huo Ukapata Pingamizi Kutoka Kwa Baadhi Ya Wenyeji.