×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Rekodi za Uogeleaji: Sera Makena aandikisha rekodi, Neo Olengo pia avunja rekodi

16th February, 2020

Sera Makena Mawira Na Neo Olengo Wameandikisha Rekodi Mpya Kwenye Mashindano Ya Kuogelea Kiwango Cha Pili Ambayo Yamekamilika Hii Leo Jijini Nairobi. Mawira Mwenye Umri Wa Miaka 12 Amesajili Muda Wa Dakika 23 Kwenye Shindano La Mita 1500 Mtindo Huru Kwa Waogeleaji Wasiozidi Umri Wa Mika 12 Huku Neo Olengo Mwenye Umri Wa Miaka Tisa Akiweka Rekodi Mpya Ya Dakika Moja Na Sekunde 29 Shindano La Mita Mia Moja. Klabu Ya Otters Imeibuka Kidedea Baada Ya Wavulana Kunyakua Medali 55 Huku Wasichana Wakinyakua Medali 52.

.
RELATED VIDEOS