.
16th February, 2020
Mwili Wa Mwakilishi Wadi Ya Kahawa Wendani Katika Kaunti Ya Kiambu Cyrus Omondi Aliyeaga Dunia Wiki Iliyopita Nchini India Umerejeshwa Nchini Kwa Ajili Ya Mazishi. Mwakilishi Huyo Aliyefahamika Miongoni Mwa Wafuasi Wake Kama Gearbox Aliaga Dunia Siku Ya Jumatano Akiwa Katika Ziara Ya Kikazi Pamoja Na Wenzake Nchini India.Jamaa Na Marafiki Wa Mwakilishi Huyo Ilijumuika Leo Katika Maombi Huku Wakitaka Chanzo Cha Kifo Chake Kichunguzwe.