.
9th February, 2020
Carl Flash Tundo Aliibuka Mshindi Wa Makala Ya Kwanza Ya Kitaifa Ya Mbio Za Magari Zilizoandaliwa Katika Kaunti Ya Kajiado. Tundo Na Msaidizi Wake Tim Jesop Wanaoendesha Gari Aina Ya Mitsubishi Evolution 10 Walaindikisha Mda Wa Saa Moja Dakika 44 Sekunde 57. Baldve Charga Anayendesha Gari Aina Ya Mitsubishi Evolution 10 Alimaliza Pa Pili Huku Onka Rai Akichukua Nafasi Ya Tatu.Ian Duncan Alimalia Katika Nafasi Ya Nne Huku Jasmeet Chana Akikamilisha Tano Bora.