.
18th January, 2020
Waziri wa elimu profesa Peorge Magoha, amelibandua baraza la uongozi wa chuo kikuu cha Nairoibi na kisha kufutilia mbali uteuzi wake profesa Stephen Gitahi Kiama kama mkuu wa chuo hicho. Aidha profesa Magoha amemteua profesa Isaac mbeche kuwa kaimu mkuu wa chuo kikuu cha Nairobi hadi uteuzi wa mkuu wa chuo ufanyike.