×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

TAWASIFU YA CHARLES RUBIA: Jinsi alivyopigania demokrasia chini

30th December, 2019

Kuzikwa kwa mwanasiasa mkongwe Charles Rubia kunahitimisha mwisho wa vigogo walioshinikiza kurejeshwa kwa mfumo wa demokrasia ya vyama vingi nchini. Rubia mbaye ndiye alikuwa meya wa kwanza wa kiafrika kuliongoza jiji la Nairobi  pia aliwahi kuhudumu kama mbunge wa Starehe na waziri wa serikali za mitaa. Duncan Khaemba aliwahi kupata fursa nadra ya kuzungumza naye mwenda zake na sasa anatupatia tawasifu yake kuhusiana na mapambano ya demokrasia nchini.

.
RELATED VIDEOS