×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Shughuli ya uokozi katika mtaa wa Tassia yakamilika

9th December, 2019

Baada ya siku nne ya shughuli ya kuchimbua vifusi ili kuokoa waliokwama ndani katika eneo la mkasa wa kupromoka kwa jumba Tasia, kikosi cha pamoja kinachoendeleza shughuli hiyo kinasema shughuli hiyo sasa imekamilika. Kulingana na ripoti ya shirika la msalaba mwekundu, takriban watu 10 wamethibitishwa kufariki kutokana na mkasa huo na wengine 36 kuokolewa kutoka kwa vifusi vya jengo hilo. Waathiriwa wa mkasa huo sasa wamepewa hifadhi ya muda katika kanisa la kikatoliki la Taasia.

 

.
RELATED VIDEOS