×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Sarakasi ilizuka katika Bunge la Kaunti ya Kisumu

19th February, 2019

Sarakasi ilizuka katika Bunge la Kaunti ya Kisumu alasiri ya leo pale waakilishi wadi walitofautiana juu ya uamuzi wa kumuondoa mwenyekiti wa kamati ya bajeti stephen owiti. Walibadilishana makonde baada ya mwafaka kukosekana, kundi moja likiafiki kuapishwa kwa mwenyekiti mpya wa kamati hiyo, judith ogada.  Taharuki ilianza wakati kiongozi wa wengi bungeni humo kenneth onyango alipouliza njia zilizotumiwa kumuondoa owiti kwenye wadhifa huo. Spika onyango oloo alikuwa akisimamia shughuli za kikao cha bunge hilo.

.
RELATED VIDEOS