×
× KTN NEWS News Business Sports Politics Features Live Schedule E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wakazi wa Kaunti ya Tana River wamehimizwa kujiepusha na siasa za mgawanyiko

3rd January, 2019

Wakazi wa Kaunti ya Tana River wamehimizwa kujiepusha na siasa za mgawanyiko wanaposhika shughuli zao za mwaka huo. Gavana wa tana river ambaye alikuwa akizungumza nyumbani kwake hola, dhadho godhana amesema salamu za kheri kati ya rais uhuru kenyatta na kiongozi wa odm raila odinga ni ishara tosha kuwa wakenya wanatakiwa kuishi kwa amani. 

.
RELATED VIDEOS