×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wakaazi wa Loiyangalani, Turkana waandamana

16th December, 2018

Jamii zinazoishi karibu na mradi wa kuzalisha kawi ya upepo unaojengwa katika kaunti ya Turkana, zimefanya maandamano kulaani na kulalamikia kile wanachotaja kuwa udhalimu dhidi yao kupitia mpango hafifu wa fidia. 

Wakiongozwa na makundi yanayopigania haki na usawa kutoka maeneo hayo, waandamanaji hao waliikashifu serikali kwa kutoa fidia ndogo ya shilingi elfu thelathini kwa ardhi iliyotwaliwa kwa ajili ya ujenzi wa mradi huo.

.
RELATED VIDEOS