×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Maandamano chuoni: wanafunzi wapinga kuhamishwa kwa mkuu wao

1st November, 2018

Mamia ya wanafunzi wa taasisi ya mafunzo ya kiufundi ya Kipkabus Kaunti ya Uasin Gishu wameandamana wakipinga uhamisho wa mkuu wa taasisi  hiyo isaac kwambok huku wakidai kuwapo kwa mwingilio wa kisiasa. Wakiongozwa na Mwenyekiti wao Rugut Kigen,wanafunzi hao wameshikilia kuwa hawatarejea madarasani wala kufanya mitihani yao inayoanza juma lijalo bila kupata hakikisho la kufutiliwa mbali kwa agizo la kumhamishia mkuu huyo hadi Kaunti ya Baringo. Hata hivyo Mkuu wa Idara ya Mafunzo ya Kiufundi kwenye Kaunti ya Uasin Gishu Michael Rugut amesema tayari uhamisho wa mkuu huyo umesitishwa kwa kipindi cha muda usiojulikana.

 
.
RELATED VIDEOS