×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wadi ishirini katika Kaunti ya Taita Taveta zitafaidika na mpango wa majosho

22nd October, 2018

Wadi ishirini katika Kaunti ya Taita Taveta zitafaidika na mpango wa ujenzi wa majosho 75 ya kuwaogesha mifugo katika ufadhili wa serikali ya kaunti. Mpango unasaidia kukomesha magonjwa yanayotokana na kupe. Maeneo hayo yalitengwa kutokana na usimamizi mbaya. Gavana wa kaunti ya taita taveta granton samboja amesema serikali yake inaangazia sana kuimarisha hali ya kilimo. Wakulima eneo hilo wanasema siku zilizopita wamepoteza mifugo kutokana na matumizi ya njia zisizofaa katika kudhibiti magonjwa ya mifugo.

.
RELATED VIDEOS