×
× KTN NEWS News Business Sports Politics Features Live Schedule E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Familia yakumbuka askari aliyepotea katika mbuga ya Aberdare

20th October, 2018

Tarehe kama ya leo, miongo miwili iliyopita. Askari mmoja wa kulinda wanyama pori alitoweka kutoka mbuga ya Aberdare asiwahi kupatikana. Miaka ishirini baadaye, familia yake inamkumbuka na kumsherehekea kama shujaa. Familia hiyo imemkumbuka mpendwa wao kwa kumpeleka mwana wa kipekee wa askari huyo, katika eneo alikoonekana mwisho babaye. Mwanahabari wetu ibrahim karanja aliandamana na familia hiyo na kutuandalia taarifa hii yenye hisia mseto.

.
RELATED VIDEOS