×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Suala Nyeti: Muungano wa wachapishaji KPA wajitetea

18th October, 2018

Chama cha mashirika ya uchapishaji vitabu kimejitokeza kuzungumzia mjadala ambao umekuwa ukiendelea kwa muda sasa, kuhusu dosari kwenye vitabu vya mtalaa mpya vinavyochapishwa na mashirikia mbalimbali.

Mwenyekiti wa chama hicho Lawrence Njagi, amesema kuwa baadhi ya michoro inayosambazwa si ya vitabu vya kenya na kuonya kuwa ipo njama ya kusambaratisha juhudi za kutoa mtaala mpya. 

.
RELATED VIDEOS