.
3rd October, 2018
Bodi ya wanaphamasia nchini imelaumiwa kutokana na ongezeko la dawa ghushi na ghali mno zinazohatarisha maisha ya wagonjwa kando na kuathiri uchumi wa taifa.
Waziri wa Afya Sicily Kariuki ameonya kwamba hawatosita kuwachukulia hatua wote walio na vibali vya kumiliki maduka ya kuuza dawa.