.
2nd October, 2018
Maisha ya siku hizi wasemavyo wajuzi, ni kujituma. Na hata maeno ya mashinani watu wanajituma katika biashara ambazo awali zilikita mizizi katika maeneo ya mijini mfano uuzaji wa sharubati ya matunda au fruit juice. Bongo la biashara linaanngazia biashara ya milena mirriam karibu na mji wa voi katika kaunti ya tatiata taveta.