×
× KTN NEWS News Business Sports Politics Features Live Schedule E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wavuvi sita wa Kenya watafikishwa mahakamani nchini Uganda

3rd September, 2018

Wavuvi sita ambao ni raia wa Kenya watafikishwa mahakamani nchini Uganda tarehe sita mwezi huu kujibu mashtaka ya uvuvi usio halali kwenye maji yaliyoko upande wa taifa la Uganda. Sita hao walikamatwa tarehe 24 mwezi agosti na maafisa wa uganda na kufikishwa katika kisiwa cha buvuma. Wavuvi kutoka ufuo wa nyan'gwina kaunti ndogo ya nyatike wametaja  hatua hiyo kama unyanyasaji mkubwa. Kulingana na baba ya mvuvi mmoja anayezuiliwa na ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha nne, wavuvi hao walikuwa wameenda kuvua ndani ya ziwa victoria wakati maafisa kutoka uganda walipo wakamata.  

.
RELATED VIDEOS