×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Naibu Rais William Ruto ahudhudria mazishi ya mwanariadha marehemu Nicholas Bett

16th August, 2018

Naibu wa Rais William Ruto alwaongoza viongozi kutoka janibu mbali mbali za za humu nchini katika mazishi ya aliyekuwa bingwa wa mbio za mita mia nne za kuruka virunzi mwaka wa 2015 Nicholas Bett.
Mazishi ilifanywa eleo la Simat Kaunti ya Uasin Gishu.
Sifa kedekede kwa mwendazake, majonzi na siamsi ilitawala mazishi yake marehemu.

.
RELATED VIDEOS