.
4th July, 2018
Polisi wa kituo cha Kiminini ameuwawa na umati wenye ghadhabu baada kumuua mwana boda boda kwa risasi. Wakaazi wa Tongaren wameungana na viongozi wao akiwemo gavana wa Bungoma Wycliffe Wangamati na kuandamana hadi kituo Kiminini Kapchonge.