×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Waziri Balala asitisha ufadhili wa 'Brand Kenya' kwa timu ya taifa ya raga

21st June, 2018

Waziri wa utalii Najib Balala amesitisha ufadhili wa bodi ya Brand Kenya kwa timu ya taifa ya raga ya wachezaji saba Shujaa. Hatua hiyo imefuatia tukio la hivi maajuzi ambapo wachezaji wa Shujaa waliamua kuziba nembo ya 'Make it Kenya' kwenye jezi zao katika mkondo wa Paris Sevens wakidai shilingi milioni 4 waliozokuwa walipwe kufuatia mkataba huo. Balala amesema kuwa jambo hilo limeidhalilisha Kenya ndiposa akachukua uamuzi huo. 

.
RELATED VIDEOS