×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Dkt Ekuru Aukot ataka marekebisho ya katiba kufanywa

7th April, 2018

Chama cha Thirdway Alliance kinachoongozwa na aliyekuwa mwaniaji urais Ekuru Aukot sasa kinataka marekebisho ya katiba kupunguza idadi ya waakilishi wanaohudumu bungeni. hii ni kwa kutafuta sahihi milioni moja kutoka kwa wakenya. Aukot anasema, chama chake kinataka idadi ya wabunge, maseneta na waakilishi wa kike kupunguza kutoka idadi ya sasa ya 416 hadi 194. 

.
RELATED VIDEOS