×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mtoto aliyeibwa katika hospitali ya kitaifa ya Kenyatta apatikana

20th February, 2018

Mtoto aliyeibwa katika hospitali ya kitaifa ya Kenyatta amepatikana. Mtoto huyo mwenye wiki tatu  alipatikana nyumbani mwa mwanamke mmoja eneo la Kawangware baada ya jirani yake kukisia kuwa mtoto huyo hakuwa wake, kufuatia kilio kisichokuwa cha kawaidakutoka kwa mtoto huyo. 

.
RELATED VIDEOS