x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Kwa takriban siku nzima wakenya wakosa kutazama matangazo kupitia runinga za KTN News, NTV na Citize

30, Jan 2018

Kwa takriban siku nzima wakenya wakosa kutazama matangazo kupitia runinga za KTN News, NTV na Citizen baada ya tume ya mawasiliano nchini kuzima mitambo ya kurushia matangazo ya runinga hizo. Kuzimwa kwa runinga hizi kwenye masafa ya Signet, Bamba na DSTV kumefuatia onyo la serikali kuwa itachukua hatua kali dhidi ya vyombo vya habari ambavyo vingepeperusha matangazo ya moja kwa moja ya hafla hiyo ya NASA kumuapisha Raila Odinga.

Feedback