×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mazishi ya watu tisa waliofariki kufuatia ajali kwenye barabara ya Nyeri – Nyahururu

16th January, 2018

Hali ya huzuni huku mamia ya waombolezaji wakijitokeza katika shule ya upili ya Ngai Ndeithia kaunti ya Nyandarua wakati wa mazishi ya watu tisa waliofariki kufuatia ajali kwenye barabara ya Nyeri – Nyahururu. Tisa hao walikuwa wakirejea nyumbani baada ya kuhudhuria mazishi eneo la Mukurweini kaunti ya Nyeri. Mazishi hayo yalihudhuriwa na viongozi mbalimbali ambao waliwataka wadau katika sekta ya usafirishaji kufanya hima huku wakiwataka madereva kuwa waangalifu ili kuepuka ajali za barabarani

.
RELATED VIDEOS