×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo: Ezekiel Mutua ataka waimbaji kubadilisha majina yao ya jukwaani

19th November, 2016

Afisa mkuu mtendaji wa bodi ya filamu hapa nchini Ezekiel Mutua ametoa makataa ya siku saba kwa wanamuziki na haswa kutoka kwa jamii ya wakamba kubadilisha majina yao ya jukwaani  kwani ni majina yanayopotosha maadili  katika jamii. Akizungumza huko Embu, Mutua amesema kuwa kwa wale ambao hawatatilia maanani makataa hayo watachukuliwa hatua kali za kisheria. 

.
RELATED VIDEOS