.
17th November, 2016
Kenya ikiwa miongoni mwa mataifa yanayoshuhudia visa vya watoto wanaozaliwa kabla ya kufikisha miezi tisa au wiki 37 ukipenda Preterm Babies, wazazi wa watoto hao hupitia changamoto chungunzima katika juhudi za kuyaokoa maisha ya wanao ambao mara nyingi huwa nusu kaputi.