x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Peter Kenneth asema atawania ugavana katika teketi ya chama cha Jubilee

13, Nov 2016

Tukiingia katika siasa za Jubilee, kiongozi wa chama cha Kenya National Congress Peter Kenneth amesema kuwa atawania ugavana katika teketi ya chama cha Jubilee katika uchaguzi mkuu ujao. Kenneth amewataka wanachama wa Jubilee kumpokea akisema kuwa moyo wa kuvumiliana ndio utakaohakikishia ushindi chama hicho. Wakati huo huo mkuu wa kampeni za Jubilee Raphael Tuju amesema wameiomba IEBC kusimamia uchaguzi wa mchujo wa chama hicho.

Feedback