.
16th October, 2016
Miezi minne baada ya runinga ya KTN kupeperusha masaibu ya mama mmoja wa asili ya Brazil anayeishi katika eneo la Likuyani kaunti ya Kakamega ...Maria Antonio Barbosa Dos Santos sasa anatabasamu kwani ubalozi wa Brazil umefanikisha safari yake Brazil