×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo Wikendi: Daktari mmoja ashikwa na polisi kwa kushukiwa kuhusiana na Islamic State

8th October, 2016

Daktari mmoja anazuiliwa na kitengo kinachokabili ugaidi kwa madai ya kujihusisha na kundi la Islamic State. Polisi wanasema kuwa kuna vifaa vilivyopatikana katika nyumba yake ambavyo  vinashiria ushirikiano na kundi hilo. Hata hivyo familia yake imekana madai hayo.

.
RELATED VIDEOS