.
27th September, 2016
Mwanamume mmoja huko Nyeri aliuawa na mbwa wawili aina ya German Shepherd baada ya mbwa hao kumvamia na kumshambulia kwa ming’ato mikali. Kahuro Mathenge aliyekuwa na umri wa miaka sabini alikosea lango alilotarajia kuingia na badala yake kuingia kwa jirani alikokutana na masaibu hayo