x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

KTN Leo Wikendi: Kilio cha Wakaazi wa Kakuzi, Septemba 25 2016

25, Sep 2016

Wakazi wa kijiji cha Mwania kaunti ya Murang’a sasa wameitaka serikali kuingilia kati na kukomesha mara moja kile wamekitaja kama kuhangaishwa na kampuni Kakuzi. Wakazi hao wamesema kwamba matatizo ambayo wamekuwa wakipitia yakiwemo ukosefu wa huduma za umma yamefika kooni na kamwe hawatavumilia.

POPULAR NEWS VIDEOS


RELATED VIDEOS


Feedback