×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo Wikendi: Wakaazi wa NHC Langata wapata maji mara tatu kwa wiki, Septemba 24 2016

24th September, 2016

Tukiwa bado katika taarifa za unadra  wa maji Nairobi wakaazi  wa mtaa wa NHC yaani National Housing Corporation  eneo la Lang’ata  vile vile wameathirika pakubwa na upungufu wa maji jijini wengi wakilazimika kununua maji kwani wanayapata maji kwa siku moja tu kwa wiki.  Kutokana na gharama ya juu ya maji wakaazi hawa wameamua kuepuka gharama kubwa ya maji kwa  kununua  gari la maji.  Maji hayo yanaweza  kutosheleza  kwa bei nafuu . Agnes Penda anaangazia taarifa hiyo  kwa kina. 

.
RELATED VIDEOS