×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Vita vya maneno baina ya ODM na Jubilee katika mikutano miwili ya kisiasa iliyofanywa Nairobi

18th September, 2016

Vita vya maneno vilizuka baina ya wanasiasa wa chama cha ODM na Jubilee katika mikutano miwili ya kisiasa iliyofanywa mjini Nairobi.  Mkutano wa CORD uliongozwa na naibu kiongozi wa chama gavana Ali Hassan Joho na wa Jubilee ukaongozwa na kiongozi wa wengi katika bunge la taifa Adan Duale

.
RELATED VIDEOS