Wezi waonekana wakiiba na kamera za CCTV Uasin Gishu
18th September, 2016
Wakazi wa eneo la Jua Kali kaunti ya Uasin Gishu wanaishi kwa hofu. Kufuatia matukio ya wizi kuongezeka katika eneo hilo.Tukio la hivi karibuni likiwa picha za wezi kunaswa kwenye kamera ya CCTV.