×
× KTN NEWS News Business Sports Politics Features Live Schedule E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Maamuzi ya awali yamtatiza Ringera mbele ya JSC

6th September, 2016

Mpango alioongoza miaka 13 iliyopita uliosababisha majaji na mahakimu kadhaa kupoteza kazi umemfanya jaji Aaron Ringera  kujutia baadhi ya yaliyoibuka. Ringera amehojiwa leo na  tume ya huduma za mahakama kwa wadhifa wa jaji mkuu ambapo ameomba radhi mara kadha kutokana na baadhi ya maamuzi yake alipokuwa akihudumia umma katika nyadhifa mbalimbali. Licha ya kukiri hayo Ringera bado anahisi yeye ndiye anafaa zaidi kumrithi Willy Mutunga.

.
RELATED VIDEOS