×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mapokezi ya Faith Kipyegon bingwa wa mbio za mita 1500

3rd September, 2016

Bingwa wa olimpiki katika mbio za mita 1500 upande wa kinadada Faith Kipyegon alirejea nchini kwa makaribisho ya aina yake,  hii ikiwa ni baada ya kushiriki kwenye mbio za msururu wa almasi kule Zurich Alhamisi usiku. Msafara wake ulifika mjini Nakuru saa nne asubuhi na kupenyeza katikati mwa jiji alikolakiwa na gavana wa Nakuru Kinuthia Mbugua. Msafara huo uliendelea hadi kwao nyumbani katika kijiji cha Ndabiti eneo bunge la Kuresoi kusini ambako mamia ya jamaa na marafiki walikuwa wamekusanyika kumlaki. 

.
RELATED VIDEOS