×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kenya yatia mkataba na nchi zingine kama njia ya kuimarisha bara la Afrika

28th August, 2016

Kenya sasa imetia mkataba na mataifa mengine matatu kama njia ya kuharakisha mazungumzo ya kuimarisha bara la Afrika yaliyokuwa yamesitishwa kwa muda. Mkataba huo kati ya Afrika Kusini, Nigeria na Misri uliongozwa na waziri wa masuala ya kigeni Amina Mohamed unatarajiwa unatarajiwa kuanza kutekelezwa kabla ya makataa ya mwezi Octoba mwaka ujao. Haya yanajiri huku kiasi cha shilingi trillioni 3 pesa za Kenya kikitengewa maendeleo ya bara la Afrika kwenye  kipindi cha miaka mitatu 

.
RELATED VIDEOS