×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Jumba jingine laporomoka Kariobangi lakini hakuna aliyejeruhiwa kwenye mkasa

2nd August, 2016

Wapangaji sita kwenye jumba moja eneo la kariobangi south jijini nairobi wameponea chupuchupu baada ya jengo lao la makazi kuporomoka. Jengo hilo la orofa tano liliporomoka saa mbili asubuhi ya leo. Kwa mujibu wa wakazi, lilitiwa alama ya kubomolewa lakini mmiliki akafuta alama hiyo ya “x”. Hakuna aliyejeruhiwa wala kupoteza maisha. Tukio likifanyika siku moja baada ya ukuta kuwaangukia na kuwaua watu watatu eneo la westlands, Nairobi.
.
RELATED VIDEOS