×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mshukiwa wa mauaji Geoffrey Matheri aponea kifo baada ya kupigwa na kundi la watu

2nd August, 2016

Geoffrey Matheri aliyefungwa jela kwa kupatikana na hatia ya kusababisha vifo, unajisi na kufyonza damu ya watu aliowazuilia aliponea kifo baada ya kupigwa na kundi la watu katika eneo la kinangop. Matheri ambaye amelazwa katika hospitali ya naivasha ameomba msamaha baada ya kubaini kwamba jamii ingali na hasira kufuatia visa vya udhalimu alivyohusika awali hussein mohammed anaarifu.
.
RELATED VIDEOS